| Bwana na Biharusi wakiwa katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha |
| Maharusi katika Picha ya familia ya pande zote mblili |
| Maharusi na wapambe katika picha ya pamoja. |
| Maharusi katika pozi wakisaidiwa na wapambe wao kwa kushika shera ya biharusi. |
| Biharusi, Victoria Mollel katika picha ya pamoja na familia ya pande mbili, kushoto ni mama Mzazi wa Biharusi Victoria Mollel , Julieth Mollel. |
| (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa kampuni ya KM Express Photo Studio na Mmiliki wa ujijirahaa blog. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment