ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, December 30, 2016

HILI HAPA SONGI LA KISUKUMA NA MIDUNDO YA KIJANJA 'DIMAGA' - NKUNDA STAR

Kutoka Shy Town jamaa wakuitwa Nkunda Star anachomoza na track yake hit aliyopiga kwa lugha ya kisukuma inaitwa Dimaga, chini ya mkono wa mtayarishaji wa muziki Kisse P wa hapo hapo mjini Shinyanga. BOFYA PLAY KUISIKILIZA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.