ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, November 12, 2016

CHANGAMOTO MOJA TU KUITWA WAKISASA ILE YA UKWELI UKWELI.

Neema imekaribia kwa wapenda soka wa jiji la Mwanza na Watanzania wote baada ya nyasi kuanza kutandikwa kwenye Uwanja wa Nyamagana.

Uwanja wa Nyamagana uko katikati ya jiji la Mwanza na wakati fulani nusura serikali iutoe, eti ijengwe hoteli ya kitalii.

Yote 9 kumi uwanja bado unachangamoto nyinginezo mwanawane... zaidi cheki VIDEO HAPO JUU kwa hisani ya Gsengo Tv.
Tembea nami Gsengo toka Mwanza Tanzania.

Kona na muonekano taswira ya uwanja.

Engo moja pande za mashariki ya uwanja.

Mchanga mweusi kwenye mifuko ndiyo itakuwa hitimisho la mwisho baada ya mchanga awamu zote kukamilika unynyizaji.

Pembe ya uwanja wa Nyamagana.

Kona ya Kaskazini mashariki.

Juu ya nyasi na zoom.

Kona ya goli la kusini.

Toka engo.

Paleeee kati.

Japo kwa juu karibu kiduchu Goli hadi goli

Kutoka juu na muonekano uwanja wa Nyamagana Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.