...Katibu Mkuu wa NDFA Gilbert Daddy akizungumza na wachezaji wa timu ya wasichana ya Marsh Queens Academy baada ya kuwasili ikitokea Dodoma katika muendelezo wa ligi inayoendelea..... Usiku huu na kila siku saa 21:00 - 22:00 kasoro siku ya ijumaa ambapo #SPORTSRIPOTI huruka saa 20:00 - 21:00 Timbwirika na #SPORTSRIPOTI ya JEMBE FM 93.7 Mwanza ukiwa na @elikanamathias Mwalimu Ahmad Ally ni Head Coach wa Marsh Academy hapa anatoa tathimini ya mchezo dhidi ya Baobao ya Dodoma ambapo timu hiyo ilipata ushindi wa 1-3 ugenini.
Mtandao wa intaneti warejeshwa Uganda
-
Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa Uganda kuzima mtandao wa intaneti wakati wa
uchaguzi kwa sababu za usalama wa kitaifa.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment