Zawadi nyingine. |
Mkutanoni wadau wa jiji la Wurzburg na Mwanza, Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg. |
Maelezo na ufafanuzi juu ya kinachoendelea kwenye mradi. |
Utambulisho. |
Wadau wa Mwanza. |
Shukurani. |
Uchumi wa Jiji la Mwanza umetoka katika kutegemea Uvuvi ambao umeathiriwa na uvuvi haramu ambao umesababisha uhaba wa samaki wenye viwango na sasa unategemea biashara rasmi na zisizo rasmi. |
Meza kuu. |
Jiografia ya kusanyiko. |
Kina zaidi. |
Mazungumzo. |
Afisa uhusiano wa Jiji la Mwanza Dr. Kaaya |
Meya Msaidizi wa jiji la Mwanza Mhe. Bhiku Kotecha. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio huo. |
Wataalamu wa majiji dada wakijadili mengineyo kwa kina. |
50 years. |
Picha ya pamoja. |
Miaka 50 ya Undugu Wuzburg jiji la Mwanza. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.