ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 1, 2016

MAGAZETI YA LEO:- WATANZANIA NA WAKENYA NI NDUGU ASEMA MAGUFULI, JELA KWA KUMDHALILISHA MAMA MZAZI, MTIHANI KIDATO CHA 4 LEO.


Rais Magufuli: Watanzania na Wakenya ni ndugu, Jela kwa kumdhalilisha mama mzazi, WAtahiniwa 48,442 kufanya mitihani kitato cha 4. Pata undani wa dondoo hizi hapa; 


Uozo jijini Dar mapya yaibuka, Magufuli afichua siri na Kenyatta, Huyu ndiye Mpemba aliyetajwa na JPM, Majina mapya yachomoza u DCI. 

SIMU.tv: Mawaziri wakuu CHADEMA na CCM waongoza vikao vya mikakati, Wahariri wamshukia Serukumba, Bondia Mashali auawa Kimara. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.