Muda mfupi baada ya ajali Saramba alisema watu wawili wamefariki papohapo katika ajali hiyo wakati yeye akiwa amelazwa katika hospitali ya Mkula Wilaya ya Busega akipatiwa matibabu kufuatia majeraha aliyoyapata..
“Ajali ilikuwa mbaya sana,ila namshukuru Mungu nipo mzima ingawa nimepata majeraha madogomadogo, lakini tumeletwa hapa Busega katika hospitali ya Kikula kwa ajili ya kupatiwa matibabu, na tayari madaktari wanatuhudumia hapa” alisema Saramba.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.