| Mchuano ulikuwa mkali sana. |
| Kila mshiriki alionesha kipaji chake. |
| Mavazi na ubunifu pia ilikuwa sehemu ya kushindana katika vipaji. |
| Mrembo huyu alionesha ufundi wa kuicheza twist. |
| Hapa napo sanaa ilihusika. |
| Mshiriki kutoka mkoa wa Geita ambaye pia ni Miss lake Zone Illuminata Dominic akionesha ufundi wa kutengeneza mavazi kwa kutumia vipande vya nguo. |
| Muziki wa Ki-hindi fundi wake huyu hapa. |
| Ma-sauti.... |
| Mamiss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 ndani ya Jembe Beach Resort Malimbe jijini Mwanza. |
| Washiriki wa Miss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 jijini Mwanza. |
| Washiriki wa shindano la miss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza. |
| Washiriki wa shindano la miss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza. |
| Majaji wa usiku wa shindano la Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza. |
| Wadau ndani ya eneo la tukio kinyang'anyiro cha shindano la Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza. |
| MapozZ.... |
| Marafiki Vyuma vimekaza nao walikuwepo tukioni. |
| Debe na Jembe. |
| Mmoja kati ya warembo walioonesha vipaji naye alikuja na uigizaji |
| Mashost na matukioz kwenye upaparazeZ. |
| Majaji wakimakinika. |
| Top 5 |
| Top 5 Miss Talent 2016 wakiwa wamepozi mara baada ya kushinda nafasi tano Bora ya Miss Talent 2016. |
| M-shindi ni... |
| Mshindi wacha amwage mbungi.. |
| Wastaarabu wa Mwanza na engo zao. |
| Jiografia ilikuwa hivi. |
| Wadau na meza zao. |
| Wastarabu wa Mwanza. |
| Marafiki wa Jembe Family. |
| Oyooooooo.....!!! |
| Classic party with Classic people..... |
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment