ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 5, 2016

MAGAZETI YA LEO: MELI 60 ZILIZOPOTEA DAR, LIPUMBA NA MAALIM WAGAWANA AKAUNTI, MAJALIWA ALAANI WALIOUA WATAFITI, JK AMKIMBIZA RAIS KABILA.


 JK amkimbiza rais Kabila, Mgogoro wazidi kuibomoa CUF, Bei ya mafuta nchini yapungua, Mke wa waziri achomoka ATCL, maiti adaiwa kupiga chafya. Habarika na dondoo hizi hapa.


Meli 60 zilizopotea bandarini Dar, Lipumba na Maalim wagawana akaunti, Majaliwa alaani walioua watafiti, Pata undani wa dondoo hizi za magazeti hapa.

Magufuli ataka Wakongo sasa warudi nchini kwao, 21 wafa kwa ugonjwa wa ajabu Ngorongoro, Mapya kijiji cha mauaji. Pata dondoo hizi hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.