Ameyasema hayo akiwa katika ziara ya siku mbili nchini humo na kuwaeleza kuwa wanaweza kuja kufanya biashara hata leo.
“Ninawakaribisha tena Wakenya wote wanaotaka kufanya biashara Tanzania, waje hata leo” amesema Magufuli. Dkt Magufuli yupo jijini Nairobi, katika ziara yake ya kiserikali ya siku mbili nchini humo.
Hapa ni picha za mapokezi yake nchini humo.
Hapa ni picha za mapokezi yake nchini humo.
Rais Dkt Magufuli akisalimiana na naibu rais wa Kenya Mh. Willam Ruto |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.