Wanafunzi wa shule ya Msingi Oysterbay wakiwa kwenye picha ya pamoja na Baraka Chedego kutoka GNRC -Tanzania kabla ya kuanza kwa mechi ya mpira wa miguu |
Wanafunzi wakiwa katika mdahalo. |
Vainess Mbaga (Education Officer) akitoa elimu kwa watoto. |
Washiriki wa Mdahalo wakisalimiana na Mama Joyce Mdachi kutoka GNRC na viongozi wengine wa shule. |
Mtanange dimbani. |
Maufundi zaidi na vyenga..... |
Kipyenga kimelia. |
Huduma ya kwanza. |
Elimu ya Futboli. |
Ushirika na ushirikiano. |
Mduariko. |
Marafiki. |
Skul baraza. |
Mfano wa vyeti walivyotunukiwa wanafunzi kutoka na ushiriki mzuri wa siku hii ya kipekee. |
Kila tarehe 15 Oktoba, Dunia nzima huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umasikini, ambapo mwaka huu kauli mbiu ya siku hiyo ilikuwa ni
‘’KUTOKA UDHALILISHAJI NA UTENGWAJI MPAKA USHIRIKISHWAJI ‘’.
Mtandao wa Dini mbalimbali kwaajili ya watoto ulimwenguni uitwao Global Network of Religion for Children (GNRC-Tanzania) wamefanikiwa kuhitimisha siku hii kwa namna ya pekee kabisa ambapo tangu tarehe 15 Oktoba wamekuwa wakiandaa matukio mbalimbali yaliyolenga kuwajengea uwezo watoto haswa wa Shule za msingi kwa kuandaa mashindano tofautitofauti kama Midahalo na Michezo ikiwa na lengo la kuwajengea watoto uwezo (capacity building) na kuwapa elimu ambayo itaweza kuwakomboa katika janga la umasikini .
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.