Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi wanne wa kwanza katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo. |
Washiriki wa shindano la Miss Tanzania 2016, wakiwa katika Opening Dance kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 kilichofanyika jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo. |
Kiafrika zaidi ndani ya shindano. |
Ubunifu wa hali ya juu. |
Selebuka. |
Msanii wa muziki wa Ragga, Cooly Chata akifanya yake katika jukwaa la kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo. |
Watu wamejitokeza kiasi kikubwa. |
Ubunifu na avazi................ |
Mchuano ulikuwa mkali sana. |
Moja ya mavazi yalio tikisa. |
Mavazi na ubunifu. |
So beautifully |
Zaidi ya ubunifu. |
Beautiful. |
Beautiful colour. |
Hii ndiyo jiografia ya engo ya viwanja vay Furahisha katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia leo. |
Jimmy Chansa |
Umdhaniaye .....hayawi hayawi |
Ni mmoja tu............... |
Top 15 wanatajwa ile hali wa-tano wao wanatinga hatua hiyo kwa sifa za kufuzu kupitia ubalozi wa mashirika na makampuni mbalimbali waliyoshirikiana nayo katika zama za maandalizi kueekea gainali. |
Top 15 ndiyo hawa. |
Top 5 ndiyo hii |
Majaji kikazi zaidi. |
Christian Balla |
F&P Flora na rafiki yake Pamela nao ni sehemu ya Kamati ya maandalizi ya Miss Tanzania 2016. |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela (kulia mbele) akiwa na rafiki yake Kamanda wa Jemshi la polisi mkoa wa Mwanza Afande Msangi. |
Meza hii ndipo alipoketi Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege (katikati mwenye tai) , Wema Sepetu na Eddie Jembe (kulia) . |
Baada ya kumalizika kwa maswali, majibu sasa ikawa ni fursa ya mrembo aliyekuwa anashikilia taji. |
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016. |
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016. |
Watu na kumbukumbu zao. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.