YALIYOJIRI MAGAZETINI LEO October 11, 2016.
SIMU.tv: CCM Zanzibar yajibu mapigo ya CUF, vifaa vya kuhakiki vyeti vyaibwa, Lipumba asisitiza mwenyekiti hali CUF,Jeshi la polisi Dar lawamani.Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/11AZZwGL38k
SIMU.tv: Rais Magufuli aokoa bilioni 1.2 EAC, watanzania wengi ni vichaa, serikali yafafanua uhaba wa dawa nchini,upepo mbaya kwa Lipumba,UKAWA wamtisha Warioba. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/MZMtSAiBdKA
SIMU.tv: Mahakama kuu yakubari Prof.Lipumba ashitakiwe, Walimu 18 wahojiwa sakata la mwanafunzi kupigwa Mbeya, Polisi Dar yanasa mtandao wa Scorpion. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/BFLRhwPDXiU
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.