| Mshiriki No 6 Sia Pius kutoka Kinondoni akiwa amebeba nyoka katika Hifadhi ya Makumbusho ya Kabila la Wasukuma Bujora jijini Mwanza. |
| Mama weeeeeEEEEE...... Mshiriki No 5 Hafsa Mahamudy mwingine kutoka Kinondoni akiwa amebeba nyoka katika Hifadhi ya Makumbusho ya Kabila la Wasukuma Bujora jijini Mwanza. |
| Mshiriki No 13 Spora E. Luhende kutoka Ilala ndiye aliyeonyesha ujasiri akiwa amebeba nyoka katika Hifadhi ya Makumbusho ya Kabila la Wasukuma Bujora jijini Mwanza. |
| Mawe haya yalitumika kale kama sehemu maalum ya kusagia nafaka kama karanga, mahindi na kadhalika ni katika Hifadhi ya Makumbusho ya Kabila la Wasukuma Bujora jijini Mwanza. |
| Pia warembo hao washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 walipata nafasi kutembezwa na kupewa darasa ya tamaduni asilia za Kabila la Wasukuma Bujora jijini Mwanza. |
| Ngoma. |
| Ngoma na ushindani ......Sukuma Dance. |
| Show time. |
| Ngoma za historia. |
| Ramani ya Sukuma Land. |
| Mmoja wa waratibu wa Miss Tanzania 2016 Flora Lauwo akiteta na waandishi wa habari. |
| Washiriki katika picha ya pamoja ndani ya Bujora. |
| Washiriki wa Miss Tanzania 2016 leo wametinga rasmi katika hoteli yao ya mwisho kuweka kambi kabla ya fainali hapa naizungumzia Lahe Hotels iliyoko Mwanza. |
| Mpiga picha wa Gsengo Blog Zephania Mandia (kushoto) akipata uphoto na mmoja wa wapiga picha waandamizi. |
| Mazingira ya Lahe Hotels Mwanza. |
| Kutoka uwanda wa Juu at Lahe Hotels Mwanza. |
| Pozi at Lahe Hotels Mwanza. |
| Swimming Pool ya Lahe Hotels Mwanza. |
KUJUA ZAIDI KUHUSU LAHE HOTELS BOFYA HAPA http://www.lahehotels.co.tz/
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment