ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 12, 2016

AGIZO LA RAIS MAGUFULI KWA VIONGOZI WA SERIKALI WALIOALIKWA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza viongozi wote wa Serikali walioalikwa kuhudhuria sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zitakazofanyika tarehe 14 Oktoba, 2016 katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kutohudhuria sherehe hizo na wale ambao walishalipwa fedha ya posho na safari kwa ajili hiyo wazirejeshe.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.