ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 20, 2016

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO September 20, 2016.


Watu 12 wamefariki dunia   na 19 kujeruhiwa katika ajali ya basi ya kampuni ya New Force iliyotokea mkoani Njombe.


SIMU.tv: Jeshi la polisi nchini limetakiwa kuongeza nguvu katika kukabiliana  na vitendo vya mauji ya vikongwe, wizi wa kutumia silaha.


SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi awataka wavuvi wote wanajihusisha na uvivi haramu kuacha mara moja.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.