SIMU.tv: Mabilioni yakusanywa tetemeko la Bukoba, Madaktari, walimu na manesi wachuana mishahara, NHC yaweka pembeni agizo la JPM. Pata undani wa dondoo hizi za magazeti hapa; https://youtu.be/RBqseuZt7Vc
SIMU.tv: Wanafunzi wacharaza viboko walimu wao, Lissu ashinda kortini kusubiri wateja, waathirika wa tetemeko kumwagiwa misaada. Habarika na dondoo hizi za magazeti hapa; https://youtu.be/bfqQoBUKhoU
SIMU.tv: Bunge laishupalia serikali, Majambazi yavamia magari ya mnadani na kuua, Magufuli alivyopimana ubavu na Kagame. Habarika na dondoo hizi hapa; https://youtu.be/PUV2__Gx_6A
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment