ZIARA YA WAZIRI MKUU TETEMEKO LA ARDHI KAGERA.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Bukoba mjini kuaaga miili ya watu 16 waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea (Jumamosi, 10 Septemba, 2016 mkoani Kagera.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment