|
Usiku wa Septemba katika kiwanja cha Jembe Beach Resort Warembo mbali mbali wameshindanishwa kwa ajili ya kuonesha vipaji vyao tofauti tofauti ikiwemo kuimba na kuigiza pamoja na masuala ya urembo ambapo warembo wengi kanda ya ziwa waejitokeza kushiriki kaatika tukio hilo.Unaweza kucheki picha za matukio yote Kupitia Gsengo Blog.
|
Mwandaaji wa Tamasha hilo Frola akitoa neno.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.