ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 1, 2016

CHRISTIAN BELLA & ERIC OMONDI KUPAMBA SHINDANO LA KUMSAKA 'OZONA MISS LAKE ZONE MWANZA'

Warembo wanaoshiriki kinyang'anyiro cha shindano la Ozona Miss Lake Zone kwa Mwaka 2016 tayari wako kambini kwaajili ya fainali itakayopigwa tarehe 10 September 2016 katika ukumbi wa Rock City Mall Mwanza, sambamba na kupewa mafunzo mbalimbali na elimu pia wanajihusisha na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwa ni pamoja na kutembelea vituo mbalimbali vya afya mkoa wa Mwanza na kutoa misaada hasa kwa akinamama na watoto.
BOFYA PLAY KUJUA MPANGO MZIMA.
Ni ndani ya mazoezi kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Lake Zone 2016 warembo katika pozi.
Mapozi na style.
Ndiyo sisi.
We love you.
Bidhaa ndani ya moja wa wadhamini wa kinyang'anyiro hicho ambao ni TSN Shopping Mall.
Ze poz kwa Lake Zone Tents & Supplies.
Sanjari na kuzawadia nao pia huzawadiwa na hapa kila mrembo alizawadiwa na duka la Flora Beauty Shop.
Techno.
Impression Limited.
Mpango mzima uko hivi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.