Mtoto mwenye matatizo ya akili afungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 5 eneo la Kijitonyama Alimaua B DSM. Mtoto mwenye matatizo ya akili afungiwa ndani ya nyumba kwa zaidi ya miaka 5 eneo la mtaa wa Kijitonyama Alimaua B Dar es Salaam kutokana na kile kinachoelezwa na mzazi wake kuwa hana uwezo wa kumsaidia.
0 comments:
Post a Comment