ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 26, 2016

MOTO WATEKETEZA BWENI MWANZA.

 Moto uliozuka mapema leo katika bweni moja la Sekondari ya Mkolani mkoani Mwanza, umeteketeza mali na vifaa kadhaa za wanafunzi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.