![]() |
| Hii leo ile zawadi ya gari jipya kwa mshindi imetambulishwa mbele ya warembo washiriki wa kinyang'anyiro hicho cha kumsaka Ozona Miss Lake Zone 2016. |
| Mchuma huo. |
![]() |
| Engo nyingine ...fainali jumamosi hii Rock City Mall jijini Mwanza. |
| Kwa mbaaali na muonekano wa zawadi ya mshindi. |
| Mchuma. |
| Yep yes ni Ozona Miss Lake Zone 2016. |
| Mambo hadharani hatukuli maneno. |
| Ozona Miss lake Zone 2016....Zawadi ya mshindi. |
Tupe maoni yako



0 comments:
Post a Comment