Kwa mujibu wa GSengo ambaye pia ni mmoja wa watangazaji watatu wa kipindi cha Kazi na Ngoma kinachoruka Radio Jembe Fm 93.7 Mwanza saa 5 asubuhi hadi saa 7 mchana amesema Eric Omondi atakuwa mchekeshaji wa kwanza kuwa mtangazaji wa kwanza kipindi cha Kazi na Ngoma akiendesha mahijano kama main prizenta yaani mtangazaji mwongozaji namba moja akisimama line one kuhoji kila atakachohitaji ufafanuzi toka kwa wanyange hao ikiwa ni sanjari na kupima IQ zao na kupokea simu na sms za wasikilizaji watakao kuwa wakifuatilia kipindi.
Watangazaji wengine wa Kazi na Ngoma ni Mansour Jumanne na Mwaka Mzima huku mashine za burudani zinazokamilisha neno Ngoma zikipewa shida na Dj Scorpion toka JEMBE DJz.
Hapa Eric alikuwa akitafakari jina 'JEMBE' Kicheko kikachomoza
'Ujumbe Kicheko muhimu kwa afya'
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.