Mashine ya kupukuchulia mahindi. |
Wananchi wakipata maelezo kutoka banda la halmashauri ya manispaa ya Shinyanga ubunifu wa kilimo cha mbogamboga kwa bustani ya jikoni kinaendelea na hapa mbogamboga zinakuzwa kwa umwagiliaji wa dripU |
Mazao mengine ndani ya maonyesho ya kilimo viwanja vya Nyamongolo jijini Mwanza. |
Kilimo cha zabibu na maelezo kwa wananchi. |
Kutoka banda la halmashauri ya manispaa ya Shinyanga ubunifu wa kilimo cha mbogamboga kwa bustani ya jikoni kinaendelea na hapa mbogamboga zinakuzwa kwa umwagiliaji wa dripU |
Maelezo kwa wananchi juu ya kilimo. |
Lishe ya mifugo hususani ngombe na mbuzi inakatwa vipande vipande ili kurahisisha matokeo kwa maziwa ya kutosha na nyama kwa ukuzaji ng'ombe. |
Kwa karibu. |
Tunatengeneza wenyewe. |
Kama umevutiwa kamata mawasiliano. |
Vya asilia. |
Asas |
Maziwa na ..... |
Umeelewa kitu kwa wale wapenzi Instagramuni........!!! |
Katani....na bidhaa zake. |
Mashine. |
Matokeo. |
Banda la Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. |
Mihogo. |
Wakala wa vipimo na nyenzo zake. |
Kipande cha eneo la maonesho . |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.