ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 2, 2016

USAILI MAISHA PLUS MWANZA NI ALHAMISI HII.

Usaili wa washiriki wa shindano la kumsaka mkali wa Maisha Plus kutoka mkoa wa Mwanza anakwenda kutafutwa mnamo alhamisi hii katika ukumbi wa Rock Garden unaopatikana Kamanga jijini Mwanza. 

Ili kushiriki Download fomu hii kisha ijaze au fika katika ofisi za Jembe Fm chukuwa fomu kisha ijaze na kuirudisha hiyo itakupa nafasi kushiriki shindano hilo kubwa ambalo katika miaka ya sasa limekuwa mkombozi wa mitaji ya vijana wa mataifa ya Afrika ya Mashariki.

Mshindi kuondoka na mkwanja wa milioni 30 za ki-Tanzania.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.