ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 8, 2016

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO August 8, 2016

SIMU.tv:  Magufuli: watanzania wote ombeni amani, kiama cha wauza unga nchini chawadia, Bavicha: Tuko tayari UKUTA, DC amtumbua mkuu wa chuo. Kwa undani zaidi pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/qH9rTqfezdU

SIMU.tv:  Mwenge wazua balaa Mwanza , CCM yapuuza utafiti, fukuto la UKUTA lawavuruga polisi, Lissu amweka pabaya AG, Magufuli: Asiyefanya kazi asile. Kwa undani zaidi pata dondoo za magazeti ya leo hapahttps://youtu.be/wnuRGh-0ZTM

SIMU.tv:  Rais Magufuli aungwa mkono, JPM atembelea makanisa na msikiti, Viongozi wa dini watunga vitabu kupinga ujangili, Maaskofu nchini wawaonya wanasiasa; https://youtu.be/tLyu3I8hjZo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.