![]() |
| Bustanini... |
| Maharusi wakiingia kanisani. |
| Ibada ya ndoa takatifu kwa Mr. na Mrs Modecai. |
| Pete zikibarikiwa. |
| Na sasa ni ndoa, pete kwa Bi harusi. |
| Pete kwa Bi. Harusi. |
| Pete kwa Bwana Harusi. |
| Ishara ya mapendo. |
| Mchungaji akibariki ndoa. |
![]() |
| Vazi na pendeza ya Bi. Harusi. |
| Bwana Harusi na mpambe wake. |
![]() |
| Maua. |
| The area kwa bustani. |
| Na frendZ...!! |
| Another angle na wapambe. |
| Ukumbini. |
| Ufunguzi wa sherehe. |
| Kata utepe kuashiria, sherehe sasa ni kule kunywa na kucheza. |
| Aksanteni kwa kuja. |
Tupe maoni yako



0 comments:
Post a Comment