ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 9, 2016

MRADI WA AIRTEL NA VETA UJULIKANAO KAMA VSOMO WAENDELEA KUELIMISHA WATANZANIA MTAANI

PICT 1&3 : Abu Ally,Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.

PICT 2: Fatuma Abdallah ,Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.

PICT 3: Mabalozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, wakitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.