Marufuku kuuza ardhi za kimila, Maswali magumu kifo cha polisi, Lipumba, Sakaya wafukuzwa CUF, JPM kukutana na Lowassa viongozi CHADEMA wanuna, Mgeja: Magufuli ashauriwe.Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.
Siri JPM kukutana na Lowassa yatajwa, Mbunge lema aendelea kugoma kula, Lowassa , JPM waibua mazito, Mrema: Tuyapuuze maandamano ya UKUTA, Mbowe: UKUTA upo pale pale. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.
CCM: Lowassa ni muungwana, Lissu: Mamlaka ya Rais yana ukomo, Ndege 11 Dar hatarini kupigwa mnada,Polisi wadaiwa kuua mahabusu kwa kipigo, Bunge la Afrika Mashariki la ridhia Kiswahili kutumika kama lugha rasmi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.