ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 9, 2016

MAGAZETI:- LEMA AMTUMIA WARAKA MZITO RAIS MAGUFULI; WAZIRI WA JK ATAPELI; FILAMU YA DKT. KIGWANGALLA NA DKT. MWAKA YAZIDI KUNOGA.


TBC: Samia: Mafisadi na wala rushwa hawana nafasi, Filamu ya Dkt. Kigwangalla na Dkt. Mwaka yazidi kunoga, Vigogo wawili TANESCO watumbuliwa. Pata undani wa dondoo hizi za magazeti ya leo hapa. 

CH 10: Waziri wa JK atapeli mamilioni, Posho za madiwani Arusha kaa la moto, Lema amtumia waraka mzito rais Magufuli, marufuku kuingia na simu wodini. Pata dondoo hizi hapa. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.