Wanufaika watumishi hewa sasa kikaangoni, Lowassa , Mbowe, Mnyika mbaroni,Oparesheni UKUTA: Lissu abadilika, AG Masaju aonya UKUTA.
Mazungumzo ni Amani,AG apigilia msumari UKUTA, Lowassa, Mbowe wakamatwa Dar, serikali yafunga vituo vya Radio, Lema apandishwa kizimbani akiwa dhaifu.
Lowassa aonja joto la polisi kwa saa 3, Tundu Lissu: Ninamkumbuka Jakaya Kikwete, Mtatiro akubali mikoba ya CUF,Lipumba akataa kusimamishwa.Pata uchambuzi wa magazeti ya leo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.