ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 4, 2016

HUU NI UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO:- VYUO 175 HATARINI KUFUTWA NACTE

Huu ni uchambuzi wa habari za magazeti ya leo August 4, 2016.

SIMU.tv: Vyuo 175 hatarini kufutwa NACTE, Mwambalaswa, Lugola, Murad waachiwa huru, Mgeja afichua siri JK kumtosa Lowassa.Kwa undani zaidi pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/SYh10zLYtKw

SIMU.tv: ZRB yakusanya bilioni 16, zaidi ya 130 wautaka ujaji, Lissu akamatwa tena, aliyemweka mtanzania rehani Pakistani akamatwa. Kwa undani zaidi pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/LOTz5Kh7z7Y

SIMU.tv: Lissu mbaroni,  Msigwa atema cheche Iringa, Kauli ya JPM inaiua ACT Wazalendo, Mgeja amkingia kifua Lowassa, NACTE yafungia vyuo vitano vya ufundi; https://youtu.be/0jc3PNvIeg8

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.