Agosti 14, 2016 mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji alifunga ndoa jijini Dar es Salaam. Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali na ilipambwa na vichekesho kutoka kwa waigizaji wenzake. Hapa chini ni video za namna ilivyokuwa katika harusi hiyo.
|
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.