Haya .....haya tena baada ya kinya cha muda hata wengi wakadhani kuwa ndiyo hivyo huwenda safari yake ya muziki ndiyo bye-bye! La Hasha. Hatimaye Mwanadada anayekimbiza nchini kwa mikito ya BongoFleva za Kiswazi yaani mchanganyiko wa ladha ya viduku, miduara mnanda na mchiriku, Shaa kafumua jisongi lingine linaloitwa Sawa, chini ya productio za mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Shirko. Pata nasafi ya kuisikiliza ngoma hiyo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA
Kina nani wanaomchagua Papa ajaye na wanatoka wapi?
-
Kufuatia kifo cha Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 na mazishi yake
Jumamosi, makadinali kutoka kote ulimwenguni hivi karibuni watakusanyika
Vatican kum...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.