Mtoto wa kwanza wa marehemu akiuaga mwili wa mpendwa baba yake. |
Mwanahabari kutoka gazeti la Mtanzania Peter Fabian akitoa heshimma za mwisho kwa mwii wa marehemu Charles Sokoro, |
Afisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Atley Kuni na heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Charles Sokoro. |
Mama Simbira. |
"Tangulia Mwalimu" |
Familia ya merehemu Charles Songora. |
Wanafunzi wake pamoja na wafanyakazi wenzake........ |
Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA) Joseph Songora ndiye aliyekuwa Mc wa shughuli za ibada ya heshima kanisani na hapa akiwa mbele ya mwili wa marehemu akitoa heshima za mwisho. |
Kwaya aliyoitumikia marehemu enzi za uhai wake. |
Shukuruni kwa kila jambo. |
Marehemu Charles Sokoro alizaliwa tarehe 01/July/1965 na mnamo tarehe 16/July/ 2016 ndipo alipo fikwa na mauti. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. |
Mwili wa aliyekuwa Mwanahabari Charles Sokoro ukitoka katika kanisa la AICT Makongoro mara baada ya ibada kumalizika na sasa tayari kwenda kwenye nyumba yake ya milele. |
Lango kuu la Kanisa la AICT Makongoro. |
Nenda rafiki. |
Wanahabari mbele ya nyumba ya milele ya mwanahabari Charles Sokoro. |
Kwa heri ya kuonana. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.