ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 20, 2016

MUGABE AZUA JIPYA .

MUGABE AZUA JIPYA

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemkashifu mhubiri aliyeongoza maandamano kuwa ''si mhubiri wa kweli'.

''Labda anataja jina la mwenyezi mungu kinyumenyume yaani DOG'' gazeti la taifa Herald linaripoti. ''Iwapo watu kama Evan Mawarire hawataki kuishi hapa Zimbabwe ,ni bora wawaombe radhi wale wanaowafadhili iliwahamie huko kwao'' gazeti hilo lilimnukuu rais Mugabe.
Mhubiri huyo Mawarire, ndiye aliyeanzisha kampeini kwenye mitandao ya kijamii chini ya kibwagizo #ThisFlag.
Mhubiri huyo kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini. Mububiri huyo amekuwa akipinga utawala wa Mugabe na kuanzisha kampeni ya kumshinikiza atoke madarakani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.