ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 1, 2016

PBZ YAADHIMISHA MIAKA 50 YA PBZ KWA iFTAR MAALUM KWA WATEJA WAKE NA WAFANYAKAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir na Mgeni Rasmin Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg Ali Khamis, wakijumuika na Wananchi na Wafanyakazi wa PBZ katika futari ilioandaliwa kuadhimisha Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa PBZ mwaka 1966 2016.iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, 
Baadhi ya Wafanyakazi wastaaf wa PBZ wakijumuika katika futari Maalum ya kusherehekea Miaka 50 ya PBZ wakipata futari katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Wafanyakazi wa PBZ wakipata futari katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Iftar Maalim ilioandaliwa na PBZ kwa Wateja wao na Wafanyakazi wa PBZ kusherehekea miaka 50 tangu kuunda kwa Benki hiyo mwaka 1966 -2016 

Meneja wa PBZ Tawi la Kariakoo Dar es Salaam Ndg Seif akijumuika na Wafanyakazi wezake katika Iftar hiyo Maalum ya kusherehekea miaka 50 ya PBZ Zanzibar. 
Baadhi ya Wafanyakazi wastaaf wa PBZ wakijumuika katika futari Maalum ya kusherehekea Miaka 50 ya PBZ wakipata futari katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wastaaf wa PBZ wakijumuika katika futari Maalum ya kusherehekea Miaka 50 ya PBZ wakipata futari katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Maofisa wa PBZ na Wananchi wakipata Iftar ilioandaliwa na PBZ katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 

Baadhi ya Wafanyakazi wastaaf wa PBZ wakijumuika katika futari Maalum ya kusherehekea Miaka 50 ya PBZ wakipata futari katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Keki Maalum ya miaka 50 ya kuzaliwa kwa Benki ya Watu wa Zanzibar ikiwa ni maalum kwa sherehe hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ali Khamis na Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Ameir wakikata keki wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya PBZ Zanzibar.  
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Juma Ameir akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Iftar maalum ya kusherehekea miaka 50 ya PBZ na kuzungumzia changamono na mafanikio ya PBZ katika kipindi cha miaka 50 iliopita.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg Ali Khamis akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 50 ya PBZ katika hafla ya Iftar ilioandaliwa kwa ajili ya kuadhimisha sherehe hiyo iliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Wafanyakazi wa PBZ wakimsikiliza mgeni rasmin wakati akitowa nasaha zake kwa Uongozi na Wafanyakazi wa PBZ katika Iftar hiyo.

Mgeni Rasmin wa hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 50 ya PBZ Zanzibar akimkabidhi nishani ya Uongozi Mfanyakazi Mstaafu wa PBZ Ndg Chwaya.ni mmoja wa waazilishi wa Benki ya Watu wa Zanzibar 
Mgeni Rasmin wa hafla hiyo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg. Ali Khamis akimkabidhi nishani mfanyakazi Mstaafu wa PBZ.  
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg Ali Khamis akimkabidhi zawadi ya Mfanyakazi wa PBZ Bi Saada Bakari akipokea kwa niaba ya Mstaafu Bi Maryam Abdurahaman  

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ali Khamis akimkabidhi mfanyakazi wa PBZ Ndg Mohammed Mussa akipokea zawadi hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Mstaaf wa PBZ Ndg Juma Amour. 
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya PBZ Ndg Yakout akipokea zawadi kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi Mstaaf wa PBZ Ndg Abdrahaman MwinyiMbegu. 
Naibu Katibub Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ndi Ali Khamis akimkabidha Mstaaf wa PBZ Mhe Ussi Yahya wakati wa hafla hiyo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg Ali Khamis akimkabidhi zawadi Mkuregenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir wakati wa hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 50 ya PBZ Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg Ali Khamis akiwa katika picha ya pamoja na Wastaaf na Wajumbe wa Bodi ya PBZ. baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 50 ya PBZ Zanzibar iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blog.
Zanzinews.com
E-mail othmanmaulid@gmail.com.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.