Baada ya kusubiri kwa muda wa masaa kadhaa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Euro 2016 uliyokuwa unamuhusisha timu mwenyeji, usiku wa July 7 2016 timu ya taifa ya Ufaransa ambao ndio wenyeji walicheza dhidi ya Ujerumani katika uwanja wa Stade Velodrome.
Huu ni mchezo ambao timu zote mbili zilikuwa zinapewa nafasi ya kushinda mchezo, ilaUfaransa walikuwa wana rekodi ya kuifunga Ujerumani mara 13, kupoteza mara 10 na sare mara 5, hiyo ni takwimu kwa mujibu wa mechi zao 28 walizowahi kucheza toka March 5 1931.

Rekodi na uenyeji umefanikiwa kuisaidia Ufaransa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, ushindi ambao uliisaidia timu hiyo kutinga katika hatua ya fainali katika radhi yao, magoli yote yaUfaransa yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 45 kwa mkwaju wa penati na dakika ya 72, Ufaransa sasa watacheza na Ureno katika mchezo wa fainali.

GOLI LA KWANZA.
GOLI LA PILI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.