ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 27, 2016

CHADEMA YAZINDUA OPARESHENI UKUTA.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimezindua Oparesheni ijulikanayo kwa jina la UKUTA yenye lengo ya kupinga kile ilichokiita ni ukandamizaji wa democrasia kufuatia hatua mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na serikali zikiwemo za kupiga marufuku mikutano ya hadhara, ikiwa ni pamoja na maandamano.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.