ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 28, 2016

SUALA LA UJENZI WA NYUMBA ZA POLISI MWANZA LATINGA BUNGENI DODOMA.


SIMU.tv: Je ni lini serikali itamaliza ujenzi wa nyumba za kambi ya Polisi  zilizopo Mabatini jijini Mwanza zilizoanzwa kujengwa toka mwaka 2012? Eng. Masauni atoa ufafanuzi. 

 Je ni lini serikali itajenga chuo cha ufundi VETA mkoani Simiyu? haya hapa ni majibu kutoka kwa  Waziri wa Elimu Mhe.Joyce Ndalichako.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.