Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi wamekamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.
Polisi wamesema mikusanyiko yote ya kisiasa ilishapigwa marufuku, hivyo hata mahafali hiyo ilikuwa batili. |
PICHA ZA MKUTANO WA CHADEMA DAR ES SALAAM.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.