Paul Pogba na Mesut Ozil wanafanya zaidi ya shughuli mbili katika msimu huu wa michuano ya Euro mwaka 2016 huku Tanzania ikitajwa.
Kama nyongeza katika kung'arisha Nyota zao msimu huu wa kiangazi mmoja akiwakilisha Ufaransa huku mwingine Ujerumani kwenye michuano ya European Championship, wachezaji wote wawili wanarejesha kwa jamii yenye uhitaji duniani na wote kila mmoja akigharamia Afya ya upasuaji kwa watoto 11, katika Bara la Afrika.
Mungu ni mkubwa Oparesheni hiyo imemwaga neema kwa mtoto wa Tanzania who have suffered from serious burns or a club foot. The players are sponsoring the surgeries in league with charity BigShoe11, who are on the lookout for 11 international players to work with them during Euro 2016.
Sikiliza LIVE sasa @jembefm #SPORTSRIPOTI ina mzigo kamili ukiwa na @elikanamathias @jumaayoo featuring sports lady @nattyebrandy nami @gsengo kwa mbaaali ijumaa ni saa 2 3 CC:-@jembenijembe @dvjfrank @deejaykflip
The surgeries are for children with burn injuries and club foot – prevalent issues in developing and newly industrialised countries.
BigShoe began at World Cup 2006, when the Togo national team got together to fund a young Togolese girl’s operation.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.