Friday, June 10, 2016
BANGO
ðŸŽKwa mfano yaani ☀Haya haya!! wale wenye *sura mbaya* SURA SURAMBI tyme yenu hii kujinyakulia mijizawadi toka @jembefm kwa hisani ya #starTimesTZ na piaaaaa kama unakipaji cha kupiga ⚽danadana ma100 fLANi hivi, basi Jumatatu 13 June, saa 9 alasili, Stand ya Igoma ndiko tutakapo anzia... Vigezo na masharti tupa kule.... Kwani hata kama kuna prizenta wa Jembe anayeamini kuwa ana sura mbaya anaruhusiwa kutinga shindanoni.... Tukutane pale!! #suRaMbayaJembeFM ☀☀☀ðŸŽ✅@bonzbalaa @mbabavc @chrissthedj @okeleky @bobwhite_pamba = bado hamjamuona @gsengo
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.