![]() |
| Muoekano wa rangi ya dhahabi kwa moja ya vivuko. |
![]() |
| Kutoka ziwa Victoria, muonekano wa juu ya miamba kuna msalaba ambao umesimikwa Jeh... wajua unaashiria nini? |
![]() |
| Muonekano wa kidhahabu maadhari ya jioni jua kutuama (sun set) |
![]() |
| Mwanahabari wako G.sengo na Captain wa kivuko muhimu tene tegemeo cha Serikali Busisi. HII NI KAMPENI YA ILOVE MWANZA. |
Tupe maoni yako





0 comments:
Post a Comment