SIMU.TV: Msanii maarufu kutoka Marekani Neyo amewasili nchini jana usiku kwa ajili ya tamasha Jembeka linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment