☀☀Dancehall & Ragga ni kama imeacha mizizi yake ya kudumu Kanda ya Ziwa toka zama na zama hadi akina Hardmad, Kid Bway, Jet Man, Lango Lango Crew na wengine kibao wanaotamba hadi leo na kizazi cha leo... Alaaa hebu wacha moto 🔥🔥uwake na mkali mwingine huyu hapa ambaye pia ni bonge la pRIZENTa @jembefm #RIDDIMzoNe wakuitwa @coolcharter47 Nyegezi itawakilishwa na kipaji hiki kwenye stage ya kijanja #JembekaFestival2016 CCM Kirumba Mwanza 21May2016 #JembekaNaVodacom #JembekaNaCocaCola @jembenijembe ☀ Hebu mtag rafikiyo askosekane sku-HiYo 🎼
GEORGE MASAJU ATEULIWA JAJI MKUU
-
*Na Happiness Katabazi.*
*RAIS Samia Suluhu Hassan Leo amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George
Mcheche Masaju Kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.*
*Kwa Mujibu ...
TAZAMA USIKU WA BI FELISIA KYAMANI ULIVYO FANA
-
Wanafamilia na Waalikwa wakicheza kwaifuraha na shangwe kwenye siku hii
muhimu ya SendOff ya Bi Felias Kyamani .
Watu walivaa na kupendeza Ukumbi ulipambw...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.