![]() |
| Mkurugenzi mtendaji wa Jembe Media Group, Dr. Sebastian Ndege akizungumza jambo kabla ya kuwatambulisha wageni waheshima walioshiriki kwenye Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Ni Diamond Platnumz akichonga na wastaarabu wa Mwanza katika stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Ni Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016 hapa walikuwa wakifanya ushindani na Ney Wa Mitego juu ya mada Mapenzi Pesa au Mapenzi ma-ufundi. |
![]() |
| Moja kati ya tumbuizo za kuvutio kwa stage mwaka huu ni kutoka kwa Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Ni Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| "Nasema nao" ya Diamond Platnumz kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Toka umbali flani na muonekano wa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Watu weweeeee....!!! |
![]() |
| Edu Boy kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Mtangazaji wa Jembe Fm ambaye yu mmoja kati ya wababe waliosimamia show Mbaba Vc kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Team Kazi na Ngoma kwa utambulisho kutoka kushoto ni Mansour Jumanne, Mary Kimiti, GSengo na Dj Frank kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Kuna mtu kaibiwa. |
![]() |
| Mtangazaji wa Jembe Fm ambaye yu mmoja kati ya wababe waliosimamia show Bonz Balaa kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Maua Sama kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Maua Sama iz the Best kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| She did it with full..... |
![]() |
| Ruby alitikisa kwa muonekano na hit song zake stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Kwa usimamizi kuhakiki ubora wa tukio. |
![]() |
| Mr. Blue kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Mr. Blue. |
![]() |
| Deejay K-Flip |
![]() |
| Aksante Mwanza kwa utulivu 'I Love Rock City' |
![]() |
| Ney wa Mitego. |
![]() |
| Ney wa Mitego na muonekano kwa stage la Jembeka Festival 2016. |
![]() |
| Bad Man. |
![]() |
| 'Selfie' kutoka kushoto ni Edgar Mapande, Dr. Mamba na Gsengo |
![]() |
| The area na vibe. |
![]() |
| Picha linaendelea....... |
Tupe maoni yako




























0 comments:
Post a Comment