![]() |
Mtangazaji wa Jembe Fm Jacqueline Shuma Kushoto akitangaza kuhusu ujio wa Diamond Platnum na mapokezi yake katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo asubuhi. |
![]() |
Diamond Platnumz akizungumza na waandishi wa Habari mara tu baada ya kutua uwanja wa ndege wa Mwanza majira ya saa tano na nusu hii leo. |
![]() |
Mahojiano zaidi. |
![]() |
Salaam na Mwanza mapema asubuhi leo. |
![]() |
Watu na watu wao. |
![]() |
Hatua kwa hatua. |
![]() |
Tabasamu full kiwango tutoka kulia ni Harith Jaha, Bob White Pamba (katikati) na Mo-Tajiri (kushoto) wakifurahia jambo wakati wa mapokezi ya mwanamuziki Diamond Platnumz uwanja wa ndege wa Mwanza. |
![]() |
Wadau wa Utalii Mwanza wameshiriki vyema kutupa sapoti katika Jembeka Festival 2016 TANAPA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. |
![]() |
Pamoja sana. |
![]() |
Ni watangazaji wa Jembe Fm Media kutoka kushoto ni JJ - Hot Stage, CoolChatter, Oxy Okeleky, Dj Jacko, Harith Jaha na Jacqueline Shuma. |
![]() |
WCB Mwanza. |
![]() |
Hatariiiiiii..... |
![]() |
Maubize na teknolojia.........#JembeFamily |
![]() |
Muonekano nje ya Hotel Malaika jijini Mwanza mara baada ya Diamond Platnumz kutua. |
![]() |
Diamond thing..... |
![]() |
Diamond akielekea Hotelini... |
![]() |
The view inside. |
![]() |
Hatua kwa hatua... |
![]() |
Jembeka |
![]() |
@johnwhittjr |
![]() |
@johnwhittjr |
![]() |
@johnwhittjr |
![]() |
Mapema kabla ya stage kupanda.... |
![]() |
Ramani mambo yote 21May2016 hapa CCM Kirumba. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.