Marubani wa Air Mauritius na Mabalozi wa Air Mauritius Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi maalumu wa ndege hiyo ilipowasili kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Julius Nyerere Dar esSalaam. Ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake kila ijumaa ikitokea Mauritius kuja Dar nakurudi.

Marubani wa Air Mauritius, Wafanyakazi wa Air Mauritius na Mabalozi wa Air Mauritius Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi maalumu wa ndege hiyo ilipowasili kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Ndege hiyo itakuwa ikifanya safari zake kila ijumaa ikitokea Mauritius kuja Dar nakurudi.

”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.